Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

Articles by "Michezo kimataifa"


  MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amemtetea mchezaji wa zaman wa klabu 
aliyehamia Manchester United baada yake kukosa kipimo muhimu kuhusu matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini.

Aidha, amesema klabu hiyo haifichi habari zozote kuhusu tukio hilo.

Raia huyo wa Chile mwenye miaka 29 anadaiwa kukosa kipimo muhimu Jumatatu siku ambapo alikamilisha uhamisho wake kwenda Manchester United.

"Nafikiri lilikuwa tukio la kipekee, kwake kukosa kipimo siku hiyo kwa sababu alikuwa kwingine," amesema Wenger.

Mfaransa huyo ameongeza pia kwamba klabu yake haijaombwa ufafanuzi wowote na Chama cha Soka cha England au Shirika la kupambana na matumizi ya dawa zilizoharamishwa michezoni Uingereza.

Sanchez alihamia Gunners kutoka Barcelona mwaka 2014, lakini alielekea Old Trafford kwa kubadilishana na mchezaji wa Armenia Henrikh Mkhitaryan.

Baada ya taarifa za awali Uhispania, magazeti ya Uingereza Alhamisi yaliripoti kwamba Sanchez alikiuka kanuni FA ya kupatikana wakati wowote ule anapotakiwa kupimwa.

Sanchez na Mkhitaryan walipigwa picha wakiwa afisi za uhamiaji Liverpool wakitafuta vibali vya kufanya kazi kabla ya kukamilisha uhamisho wake.

Wenger amesema: "Jumatatu kulikuwa na mengi sana yaliyokuwa yanatokea, ni siku ya kipekee sana kwa Alexis Sanchez - kujaza stakabadhi muhimu, vibali vya kazi na usafiri. Alikuwa bado ni mchezaji wetu Jumatatu au la? Huwezi kujua.

"Ni siku mbaya tu kwako kutafutwa ukapimwe. Kusema kweli, ukiangalia upande wa usimamizi, huenda ikawa bado ilikuwa ni wajibu wetu kwa kuwa hakuwa amehama. Sijui nini hasa kilitokea.

"Sina wasiwasi kwa sababu hatuna chochote cha kuficha, huwa tunajaribu sana kadiri ya uwezo wetu kushirikiana na maafisa wa kupambana na matumizi ya dawa zilizoharamishwa michezoni Uingereza.

"Nia ya Alexis haikuwa kujificha na sisi hatuna jambo la kuficha."

Sheria zinasemaje?

Klabu zinatakiwa kutoa maelezo sahihi ya kina kuhusu vipindi vya mazoezi na walipo wachezaji ili waweze kupimwa wakati wowote ule.

Klabu ikikosa kufanya hivyo - au maafisa wa kupima wachezaji washindwe kumpata mchezaji wanayemtafuta - mara tatu kipindi cha miezi 12, basi huchukuliwa kwamba amekiuka sheria za FA.

Manchester City na Bournemouth mwaka jana walitozwa faini ya £35,000 kila mmoja na kutahadharishwa baada ya kukiuka kanuni hizo.

Arsenal wamemnunua yeyote?

Wenger amesema hawapo karibu kumnunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang. Ofa yao ya pili ya euro 50m (£43.64m) ilikataliwa wiki hii.

Borussia wanaaminika kutaka walipwe zaidi ya £50m kwa mchezaji huyo wa Gabon wa miaka 28.

Wenger pia amesema hataki kumpoteza Olivier Giroud.

NeymarHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionPSG more than doubled the world record transfer fee when they signed Neymar for £200m last month
Rais wa La Liga Javier Tebas amedai klabu za Paris St-Germain na Manchester City zilifanya udanganyifu wa kifedha wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji.
Akiongea katika kongamano la Soccerex mjini Manchester, Tebas amesema klabu hizo zilitumia pesa ambazo hazikuwa zimetokana na shughuli za soka na kwamba hatua zinafaa kuchukuliwa kuzuia hilo.
Tebas amesema PSG "wanaucheka mfumo" uliopo kuhusu uhamisho wa wachezaji baada ya klabu hiyo kuvunja rekodi ya dunia na kulipa £200m kumchukua Neymar kutoka Barcelona.
Alisema: "Tumewafumania wakienda haja ndogo kwenye kidimbwi cha kuogelea. Neymar alienda haja kutoka kwenye ubao wa kurukia. Hatuwezi kukubali hili."
Mkuu huyo wa ligi kuu ya Uhispania aliongeza: "Na si PSG pekee mbali pia Manchester City. Ninahitaji pesa zaidi kutoka kwenye Runinga, la sivyo Manchester City na pesa zao za mafuta watawachukua wachezaji wote."
Shirikisho linalosimamia soka Ulaya Uefa linachunguza PSG kubaini iwapo walivunja sheria za uchezaji haki kifedha.
Hata hivyo hawajaanzisha uchunguzi dhidi ya man City licha ya wito wa La Liga kwamba wafanye hivyo.
City wanamilikiwa na Abu Dhabi United Group tangu 2008 nao PSG wamemilikiwa na serikali ya Qatar, kupitia mfuko wake wa uwezekezaji katika soka tangu 2011.
Tebas amepinga wazo la kutetea klabu hizo kwa kudai kwamba Real Madrid na Barcelona wamewahi kuadhibiwa awali.
"Hilo ni wazo ambalo watoto wadogo wanaweza kutumia," amesema. "Mbona unawapa biskuti na hunipi mimi?"
City ndio waliotumia pesa nyingi zaidi sokoni, £215m ambapo walinunua Kyle Walker (£45m), Bernardo Silva (£43m), Ederson Moraes (£35m) na Benjamin Mendy (£52m).
PSG walinunua Neymar na pia wakamchukua Kylian Mbappe kwa mkopo kutoka Monaco, ambapo wanatarajiwa kumchukua kwa mkataba wa kudumu kwa £165.7m mwaka 2018.
Tebas amesema hawezi kusema kwa uhakika kwamba Cristiano Ronaldo na Lionel Messi hawatawindwa na PSG karibuni.

Wachezaji walionunuliwa pesa nyingi England:

Top 10 transfers

Gareth Bale
Image captionGareth Bale
Klabu ya Manchester United itawasilisha ombi jingine la mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale ,28, msimu ujao huku Jose Mourinho akitafuta kusamjili winga maarufu duniani (Sun)
Tottenham italazimika kumpatia beki wa kati Toby Alderweireld, 28, mapato mapya yalioimarika ama imwachilie kuhamia klabu nyengine kulingana na mshauri wa mchezaji huyo. (Het Nieuwsblad via Daily Telegraph)
Kiungu wa kati wa Chelsea Eden Hazard amemtaka mshambuliaji Diego Costa kutafuta suluhu ya kuhakikisha kuwa ataichezea tena klabu hiyo
Image captionKiungu wa kati wa Chelsea Eden Hazard amemtaka mshambuliaji Diego Costa kutafuta suluhu ya kuhakikisha kuwa ataichezea tena klabu hiyo
Kiungu wa kati wa Chelsea Eden Hazard amemtaka mshambuliaji Diego Costa kutafuta suluhu ya kuhakikisha kuwa ataichezea tena klabu hiyo.Costa mwenye umri wa miaka 28 hajaichezea timu hiyo msimu huu baada ya kukataa kurudi katika mazoezi. (Marca via Daily Mirror)
Arsenal inajaribu kuanzisha mazungumzo ya kandarasi za wachezaji ambao mikataba yao inakamilika mwisho wa msimu ujao ili kuzuia tatizo kama lile la msimu huu ambapo wachezaji kama vile Alexis Sanchez na Mesut Ozil walianza msimu wakiwa wamesalia na kandarasi ya mwaka mmoja kila mmojawao. (Daily Telegraph)
Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Arsenal Ivan Gazidis amewatumia ujumbe wachezaji wa timu hiyo akiwaambia kwamba kikosi chao kilichoimarika kinaweza kugombea taji la Uingereza msimu huu.Haki miliki ya pichaBBC SPORT
Image captionMkurugenzi mkuu wa klabu ya Arsenal Ivan Gazidis amewatumia ujumbe wachezaji wa timu hiyo akiwaambia kwamba kikosi chao kilichoimarika kinaweza kugombea taji la Uingereza msimu huu.
Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Arsenal Ivan Gazidis amewatumia ujumbe wachezaji wa timu hiyo akiwaambia kwamba kikosi chao kilichoimarika kinaweza kugombea taji la Uingereza msimu huu.(Daily Star)
Mkufunzi wa Celtic Brendan Rodgers anasema kuwa klabu hiyo itakuwa imevunja rekodi yake ya uhamisho itakapomsajili Patrick Robert kwa kandarasi ya kudumu lakini Manchester City haitaki kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 kwa kitita cha £30m. (Goal)
Manchester United sio klabu isiojulikana iliowasilisha ombi la kutaka kumsajili winga wa Leicester Riyadh Mahrez mwenye umri wa miaka(Leicester Mercury)Haki miliki ya pichaISTOCK
Image captionManchester United sio klabu isiojulikana iliowasilisha ombi la kutaka kumsajili winga wa Leicester Riyadh Mahrez mwenye umri wa miaka(Leicester Mercury)
Manchester United sio klabu isiojulikana iliowasilisha ombi la kutaka kumsajili winga wa Leicester Riyadh Mahrez mwenye umri wa miaka(Leicester Mercury)
Kiungo wa kati wa Everton Ross Barkley hakujiunga na Chelsea katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho kwa sababu simu ya mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte ilipuuziliwa mbali wakati mwakilishi wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 alipotaka kuzungunmza jukumu lake kulingana na mchezaji wa zamani wa Manchester CityJoey Barton. (Talksport)
Winga wa Everton Kevin Mirallas mwenye umri wa miaka 29 amekasirika baada ya klabu hiyo kumkataza kurudi klabu yake ya zamani Olympiakos (Daily Mirror)
Juventus iko tayari kumnunua beki wa Napoli Faouzi Ghoulam ambaye amevivutia vilabu vya Chelsea na Liverpool (Tuttosport via Talksport)
Leicester City huenda wasimsajili beki wa kulia wa Manchester City Bacary Sagna licha ya kushirikishwa na klabu hiyo kama ajenti huru.(Leicester Mercury)
Image captionLeicester City huenda wasimsajili beki wa kulia wa Manchester City Bacary Sagna licha ya kushirikishwa na klabu hiyo kama ajenti huru.(Leicester Mercury)
Leicester City huenda wasimsajili beki wa kulia wa Manchester City Bacary Sagna licha ya kushirikishwa na klabu hiyo kama ajenti huru.(Leicester Mercury)
Kinda wa kimataifa wa Uhispania Arnau Puigmal ,mwenye umri wa miaka 6, amejiunga na Manchester United kutoka Espanyol (Manchester Evening News)
Juventus inajiandaa kuwasajili wachezaji watatu wa kiungo cha kati wakati kandarasi zao zitakapokamilika msimu ujao.
Klabu hiyo ya ligi ya Serie A inamtaka mchezaji wa Bareclona Andres Iniesta, 33, mchezaji wa Liverpool Emre Can, 23, na mchezaji wa Schalke's Leon Goretzka, 22. (Tuttosport via 90min)


Mshambuliaji wa Tottenham, Dele Alli amenaswa na kamera za uwanjani akimuonyesha mwamuzi kidole cha kati wakati wa mechi ya England na Slovakia, huku akiomba radhi kwenye mtandao wake wa Twitter kutokana na tafsiri iliyochukuliwa.

Mechi hiyo iliisha kwa England kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ikiwa ni mashindano ya kimataifa ya kufuzu Kombe la Dunia mwakani.

Mchezaji huyo alikanusha jambo na kusema kuwa hakudhamiria kumuonyesha refa huyo bali alilenga kufanya utani na mchezaji mwenzake  Kyle Walker.

ArsenalHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAlexandre Lacazette
Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexandre Lacazette toka timu ya Lyon kwa dau la pauni Milioni 52.6 na kuvunja rekodi ya usajili ya timu hiyo.
Usajili wa kiungo wa Kijerumani Mesut Ozil ndio ulikua usajili wa bei ghali zaidi klabuni hapo aliposajiliwa mwaka 2013, kutokea Real Madrid kwa dau la pauni 42.4.
Lacazette amesaini mkataba wa miaka mitano kuwatumika washika mitutu hao wa London, mshambuliaji huyu atasafiri na timu wikiendi hii kuelekea Sydney kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki.
Msimu uliopita, Lacazette alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Ufaransa alikozipasia nyavu mara 28 na ameshapiga jumla ya mabao 129 katika mechi 275 tangu alipoanza kuichezea timu ya kwanza msimu wa 2009/10.

LiverpoolHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES/LIVERPOOL
Image captionSalah amepewa jezi namba 11 aliyokua akivaa Roberto Firmino ambae kwa sasa atavaa jezi namba 9
Liverpool wamekamilisha dili la usajili winga Mohamed Salah, kutoka As Roma ya Italia, kwa dau la Pauni million 39.
Usajili wa winga huyu umevunja rekodi ya usajili kwa wachezaji waliowahi sajiliwa na timu hiyo ambapo usajili wa gharama zaidi ulikuwa wa mshambuliaji Andy Carrol, aliposajiliwa kwa dau la pauni milioni 35 mwaka 2011.
Salah raia wa Misri mwenye umri wa miaka 25 amesaini mkataba wa miaka mitano kuweza kutumikia Liverpool.
''Ninafuraha sana kuwepo hapa nitajitoa kwa asilimia mia moja na nitatoa kila kitu kwa ajili ya klabu hii, kiukweli nataka kushinda kitu nikiwa na timu hii", alisema Salah baada ya kukamilisha usajili huo.
CHANZO BBC NEWS

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget