Rais John Magufuli amemteua Prof Andrew Barnabas Pembe kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi, Baloz...Read more »
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa ahirisho la mwisho katika kesi ya kutumia lugha ya matusi dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee.
Akizungumza l...Read more »
Benki ya Exim nchini imefanya hafla fupi ya futuru (Iftar) pamoja na wateja wake huku ikibainisha iko katika mchakato kupunguza riba ili kuwawezesha wateja kunufaika na mikopo na huduma nyingine ...Read more »
Ris wa Iran, Hassan Rouhani, amesema kwamba endapo rais Trump atafanikiwa kusitisha makubaliano ya mpamgo wa nuklia na Tehran, Marekani itambue wazi itakabiliwa na "majuto ya kihistoria"
T...Read more »
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dk. Charles Msonde
NA
MWANDISHI WETU, DAR
BARAZA
la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kufanika kwa Mitihani ya kidato cha
sita na ualimu am...Read more »
Ujumbe wa Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete katikati ya wiki hii uliteka mtandao wa kijamii wa Twitter na kusambaa kwenye Whatsapp, akionesha sehemu ya maisha yake baada ya urais.
Dkt. Kikwete ambay...Read more »
Ikiwa kila tarehe 8 ya mwezi machi nchi zote duniani zinasherekea siku ya mwanamke duniani kwa kufanya mambo mbalimbali ikiwa ni kuenzi na kupongeza michango mbalimbali iliyotolewa ama inayoendelea k...Read more »