Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za ili...Read more »
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuuaga mwaka 2017, mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoa waraka akilaani ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa uhuru wa kutoa mawazo.
...Read more »
Wakati Jeshi la Polisi Tanzania kupitia kanda maalum ya Dar es salaam likitangaza kuwa lazima litamhoji Askofu na kiongozi wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zachary Kakobe kwa madai ya kuto...Read more »
Watoto kutoka mitaa mbalimbali ya kata ya Kipunguni wakilifuata gari la matangazo la Sauti Jamii Kipunguni na kuzipokea kwa furaha huduma mbalimbali zilizokuwa zikitolewa ikiwa ni kugawa vipe...Read more »
Serikali imewataka wasanii kutengeneza kazi nzuri zenye ubora zinazozingatia maadili ya Kitanzania ili kuwavutia wawekezaji wengi wanaotaka kudhamini kazi hizo katika kuziandaa na kuzisambaza.
...Read more »
Mbunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk. Godwin Oloyce Mollel, aliyetangaza kujivua uanachama wa chama chake na kujiuzulu ubunge amewashukuru...Read more »
Kiongozi Mkuu wa Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Maulana Sheikh Hemed Jalala akiongea katika Maulidi hiyo, Dar es salaam.
Kiongozi Mkuu wa Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Maula...Read more »
Mwanasheria Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) David Nzarigo akipandishwa kwenye gari ya Polisi Baada ya agizo la Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh,Kangi L...Read more »