Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

SABABU 8 ZA KUNUNUA PHANTOM 8

Imekua desturi ya watu kununua simu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo specification, bei na uwezo wa simu husika. Inaafahamika kuwa watu wengi huamasishwa na rafiki na watu wa karabu au hata kampuni kuweza kununua simu flani.

Mnamo mwezi wa 10/22/2017 tulizindua simu mpya nchini Dubai. Phantom 8 ni muendelezo wat oleo la Phntom ambalo tulizindua pia mwaka jana miezi kama hii. Kwa wadau au waganei unaweza ukawa unajiuliza ni kwanini ninunue Phantom 8 na sio simu nyingine!

Simu haiwi simu kama haitokidhi mahitaji ya mtumiaji, hivyo kwa toleo hili tulihakikisha kua mtumiaji wasimu yetu ya Phantom 8 anapata yale yaliyo ya msingi na Zaidi. Hivyo sababu kuu ya kuwa na Phantom 8 ni pamoja na;
CAMERA
Camera ya simu ya Phantom 8 ni Zaidi camera ya kwaida, kwani imetengenezwa kw austadi na umakini kuweza kukupa mtumiaji fahari na furaha wakati wa kupiga picha. Inafahamika kuwa watu wengi hutuia simu zao kukamata matukia mbali mbali ikiwemo picha na video, na pindi unapata simu ambayo camera yake ni hafifu,basi bila shaka mtumiaji hukosa kujiami, (kulingana na utandawazi wa makuaji ya mitandao ya kijamii). TECNO Phantom 8 inauwezo wa 20MP camera ya mbele na 12MP + 13 MP camera pacha kwa nyuma hivyo kukupa uhalisia wa picha kama “Jicho” linavyoona.
 NETWORK
Mtandao au “network” ni jambo la msingi kwenye simu,haswa simu janja “smartphone”. Simu zingine zote amabazo tumeshawahi kutoa zimekuwa na uwezo wa 4G kumpata mtumiaji wepesi wa matumizi ya kimtandao. Phantom 8 inasapoti teknolojia mpya kabisa aina ya 4G Plus (+). 4G Plus ni teknolojia mabayo inakuweza kupata huduma za kimtandao popote pale dunia, ndani ya Zaidi nchi 200 duniani kote, hivyo kuifanya Phantom 8 kuwa simu ya kipekee Zaidi.
 DESIGN
Design ya Phantom 8 si ya kawaida kwani imeundwa na madini mithili ya Almasi. Phantom 8 ukiitazama hukupa hisia ya kama umebeba almasi mkononi, inang’aa, ni laini kwa mguso na pia kuoneka kama lulu humulikwapo na miyonzi ya juu. Mpaka hapo tu ni sababu tosha kumiliki Phantom 8!

  
STORAGE
Uwezo wa simu kuhifadhi “Data” ni jambo la muhimu kwa watumiaji. Tililiwaza na kulitilia maanani swala zima la “storage” hivyo kuipa uwezo wa 6GB RAM na 64GB ROM kuumpa mtumiaji nafasi ya kutosha kufanya mambo yake kwa uwepesi na furaha!
 REFOCUS
Simu nyingi zinauwezo wa kupiga picha lakini sio kwa ustadi wa hali ya juu. Kwenye Phantom 8 kuna mfumo/tekolojia kwenye Camera unaoitwa REFOCUS. REFOCUS inakuwezesha kupiga picha kitu kimoja na sio kingine. Kwa mfano unapiga picha ya UA kwa ukaribu, REFOCUS itazinagtia tu kwenye UA na sio vitu vingine pemebeni au nyuma yake hivyo kuFOCUS tu kwenye kitu husika.
 SUPER ZOOM
Phantom 8 inauwezo wa kuvuta picha karibu mara 10 zaidi kuliko simu zingine zote! Hivyo ni jambo ambalo utakufanya wewe mtuamiji kuweza kupata matukio vizuri na bila wasi wasi. 
 SIZE
Ukilinganisha na simu nyinge phantom 8 imekuwa nyembamba zaidi kulinganisha na simu zingine ikiwemo toleo la awali la Phantom 6 na Pahntom 6 Plus. Simu ikiwa nyembamba hukuondolea mzigo na pia inakua rahisi kuishika kiganjani. HivyoPhantom 8 ni simu inayokufaha haswa kama simu yako ndio sehemu kubwa ya maisha kwa karne hii. Huitaji mzigo tena!

Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget