Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

LOWASSA AWAPA UJUMBE HUU WATANZANIA WANAPOANZA MWAKA 2018

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, ametuma salamu za mwaka mpya kwa Watanzania, akiwasihi kuwa, wakati wanaposherehekea mwaka mpya wasikubali kugawanywa.

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) amesema kuwa amani na mshikamano ndio nguzo muhimu kwa Watanzania.

“Tunapouanza mwaka huu mpya, niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile.
Umoja na mshikamano ndio nguzo yetu.”

Kwa siku za hivi karibuni, Lowassa ambaye ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe nchini, amekuwa kimya, bila kuzungumzia masuala mbalimbali yanayoibuka katika siasa za Tanzania
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget