Magariyakiwakatikafolenikusubirihudumazaupimajiuzitoilikuendeleana
safari kwenyemzaniwaTinde, mkoaniShinyanga.
|
MuonekanowabarabarayaUyovu- Bwanga (KM 45)
kwakiwango cha lamiiliyopomkoaniGeita, ikiwaimekamilikakwaasilimia 98.
|
Wafanyakaziwamizaninchiniwametakiwakufanyakazikwaweledi,
uadilifunakuachananavitendovyarushwailikuletatijanaufanisiwakazizao
katikausimamiajinaulinziwabarabaraambazoSerikaliimekuwaikitumiagharamakubwakatikaujenzi
wake.
HayoyamesemwanaNaibuWaziriwaUjenzi,
UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa,
leomkoaniShinyanga, alipokuwaakikagua mzaniwaTinde(Shinyanga),
naMwendakulima (Kahama), ambapoamesisitizaushirikianokatiyawafanyakazihaonamaderevailikutatuachangamotozinazojitokezakatika
vituovyamizani.
"Watumishinamaderevashirikianenikutokomezavitendovyarushwa, kamwemsijihusishekutoawalakupokearushwailikupatahudumazaharaka, tukikubainitutakuchukuliahatua kali zakisheria", amesemaNaibuWaziriKwandikwa.
"Watumishinamaderevashirikianenikutokomezavitendovyarushwa, kamwemsijihusishekutoawalakupokearushwailikupatahudumazaharaka, tukikubainitutakuchukuliahatua kali zakisheria", amesemaNaibuWaziriKwandikwa.
Aidha, ametoawitokwamaderevawamagariyamizigowanaotakiwakuwanastikamaalumzausafirishajiwamizigoyaokufuatautaratibuwakuchukuastikahizomahalihusikailikuepusha usumbufunamsongamanowamagarikatikavituovyamizani.
Akiwa katikaeneo la sehemuyamaegeshonakulazamagarimjiniKahamaNaibuWaziriKwandikwa,
ametoawitokwaviongoziwaHalmashaurihiyokuchukuahatua kali
kwamaderevawanaopakinjeyaeneohilo, ilikudhibitiuchafuziwamazingiraunaowezakufanywanabaadhiyamadereva
hao.
AmeshaurikwauongoziwaHalmashaurihiyokuonanamnayakujengamaegeshomenginekamahayoilikupatachanzo
cha mapatonakusaidia kuujengamjikuwanaTaswiranzuri.
Kwaupande wake, MenejawaWakalawaBarabara (TANROADS),
mkoaniShinyanga, MhandisiMibalaNdilindi,amethibitishakuwepokwavitendovyarushwakwabaadhiyawafanyakaziwamizaninchiniambapoamefafanuakatikakupambananasualahilokwawatumishiwamkoa
waketayarimweziuliopitaamewachukuliahatuazakinidhamuwatumishiwatatuwamzaniwaMwendakulima.
Naye, MsimamiziwashughulizamzaniwaMwendakulimakutoka
TANROADS Shinyanga, Bi HeriethMonjesa,amesemakuwachangamotozamsongamanowamagarikatikamizanizinasabaishwanabaadhiyamaderevawamagariyamizigowanaotakiwakuwanastikamaalumzausafirishajiwamizigoyaokushindwakufuatautaratibu,
hivyokupelekeausumbufukwawahudumunawatumiajiwenginewamizani.
Katikahatuanyingine, NaibuWaziriKwandikwa, amekaguabarabarayaUyovu- Bwanga (KM 45), ambapoujenzi wake kwasasaumefikaasilimia 98 namkandarasiamebakishakazizaujenziwamiferejinauwekajiwaalamazabarabarani.
Post a Comment