Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

UKARABATI UWANJA WA NDEGE KIA KUKAMILIKA DESEMBA


1
Meneja Miradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Mhandisi Mathew Ndossi, akimuonesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elius Kwandikwa (Mb), (Kushoto), upanuzi wa maegesho ya ndege uliofanyika uwanjani hapo.
2
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elius Kwandikwa (Mb), akikagua maboresho ya mfumo wa majitaka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), alipofika uwanjani hapo kujionea hatua zilizofikiwa za ukarabati wa uwanja huo.
3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elius Kwandikwa (Kulia), akitoa maelekezo kwa Meneja Miradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Mhandisi Mathew Ndossi (Katikati), alipofika uwanjani hapo kujionea hatua zilizofikiwa za ukarabati wa uwanja huo.
4
Mafundi wakiendelea na ukarabati katika jengo la abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Ukarabati huo umefika zaidi ya asilimia Tisini na unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba mwaka huu.
5
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elius Kwandikwa,akifafanua jambo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoani Arusha, Mhandisi Johny Kalupale, alipokagua barabara ya Sakina – Tengeru (KM 14.1) na Barabara ya Mchepuko ya Arusha (Arusha Bypass KM 42.4) mkoani Arusha.
6
Muonekano wa Barabara ya Sakina – Tengeru (KM 14.1), mkoani Arusha,ambayo imekamilika kwa kiwango cha lami. Kukamilika kwake kumesaidia kupunguza ajali na msongamano katika eneo hilo.
7
Muonekano wa Daraja la Ndurumo lililopo katika barabara ya Sakina – Tengeru (KM 14.1), mkoani Arusha.
……………….
SerikaliimesemaukarabatiwaUwanjawaNdegewaKimataifawa Kilimanjaro (KIA),   unatarajiwakukamilikamweziDesembamwakahuuambapokwasasaumefikazaidiyaasilimiaTisini.
HayoyamesemwanaNaibuWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasilianoMheshimiwaEliusKwandikwa, marabaadayakukaguaukarabatiwajengo la kupumzikiaabirianaupanuziwamaegeshoyandegekatikauwanjahuoleomkoani Kilimanjaro.
“Nimeridhishwanaukarabatiunaoendeleakatikauwanjahuunanafikirimmejioneawenyewekaziinaendeleavizuri, hivyonaaminikutokananahalihiikaziitakamilikahivikaribuni, amesemaNaibuWaziriKwandikwa.
Aidha, NaibuWazirihuyoamefafanuakuwaukarabatihuo  ambaopiaumehusishamaboreshoyamfumowamaji taka unalengakuletatijakwamkoahuonaTaifakwaujumlakutokananakuwepoongezeko la abiria, hudumazakijamiinakibiashara.
AmesisitizakuwaSerikaliitaendeleakukarabatinakujengaviwanjavyandegenchiniilikurahisishahudumazausafiriwaangakwawananchi wake lengolikiwanikuchocheafursazakiuchumiambazozitasaidiakulipelekaTaifakatikauchumiwakati.
Kwaupande wake, MenejaMiradiwa KIA, Mhandisi Mathew Ndossi,  amesemakuwamaegeshoyatakapokamilikayatakuwanauwezowakuegeshajumlayandegekubwa 11 kwawakatimmojabadalaya 6 zinazoegeshwasasa.
Ameongezakuwaabiriawanatarajiwakuongezekakutokalakinanekwamwakahadikufikiamilionimojanalakimbilimarabaadayakukamilikakwauwanjahuo.
Katikahatuanyingine, NaibuWaziriKwandikwaamekaguabarabarayaSakina – Tengeru (km 14.1) nabarabarayamchepukoyaArusha (Arusha Bypass km 42.4) ambapoamesemakuwakukamilikakwabarabarayaSakina – Tengeru  nimkombozimkubwakwawananchiwamkoawaArushanawageniwanaoingiakatikamkoahuokwanikumepelekea  kupunguakwa  ajalinamsongamanowamagari  katikaeneohilo.
Ametoawitokwawananchikuzitunzabarabara  nakutunzamazingirayanayozungukabarabarahizoiliziwezekudumukwamudamrefukwavizazivyasasanavijavyo.
Naye, MenejawaWakalawaBarabara (TANROADS), mkoawaArushaMhandisi, JohnyKalupale,  amemhakikishiaNaibuWazirihuyokufanyakazikwauboranakwawelediilikutimizamalengoyaSerikaliyakuwajengeawananchimiundombinu bora nayakisasa.
AwamuyapiliyamradihuosehemuyabarabarayamchepuoyaArusha (Arusha Bypass), inayofadhiliwanaBenkiyaMaendeleoyaAfrika (AfDB), inatarajiwakukamilikamwakaninakugharimukiasi cha shilingibilioni 67.
NaibuWaziriKwandikwaamemalizaziarayakikazikatikamkoawa Kilimanjaro naArushaambapoamekaguamiradimbalimbaliinayotekelezwanaWizarayake.
ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini, WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget