Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Mh Amos Makalla ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka mkoa

wa Songwe mapema jana,jijini humo huku vifijo na nderemo za kuwasili  mwenge huo vikiwa vimeshamiri,Hafla ya kuupokea Mwenge huo imefanyika  Wilayani Chunya April 16,2017.Mwenge huo ukiwa mkoani Mbeya utakimbizwa  katika halmashauri saba,ambapo utafanya kazi ya kukagua,kuzindua na kuweka Mawe ya Msingi miradi mbalimbali yenye thamani ya shilingi Bilioni 10.8

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla akiupokea Mwenge wa Uhuru wilayani
Chunya mkoani Mbeya sambamba na kula kiapo cha kuukimbiza mwenge huo katika halmashauri zote za mkoa  wa Mbeya.



 Baadhi ya makamanda wa jeshi la Polisi ambao pia ni miongoni Mwa wakimbiza mwenge wa Uhuru uliowasali hapo mkoani Mbeya





Baadhi ya wanachama na Wafuasi wa Chama cha Mapindizi (CCM) sambamba na
viongozi wa chama wakisherehekea mapokezi ya Mwenge huo wa Uhuru ulio  wasili  jana April 16,2017 mkoani Mbeya na kupokelewa na mkuu wa Mkoa wa  Mbeya Mh.Amos makalla
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget