Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

VIFAA VYA MICHEZO VYAKABIDHIWA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI

unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.
A
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki
fuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma 
alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na 
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
A 1
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa 
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
A 2

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
.A 3
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli za 
Sekondariza Serikali
wakiwa 
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi waJimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
A 4
Baadhi ya  Walimu Wakuu wa Skuli za 
Sekondari 
za Serikali na Walimu wa Michezo 
wakiwa 
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
A 5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia)
akipokea Vifaa vya Michezo 
kutoka kwa 
 Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi 
ambavyo vitakabidhiwa kwa Uiongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali na kutumika katika  mashindano mbali mbali  ya wanafunzi wa Skuli za Sekondari,
katika
hafla iliyofanyika 
 Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
A 6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kulia)
akipokea Kikombe cha mashindano ya Michezo ya Skuli za Sekondari kutoka kwa  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
,
katika 
hafla iliyofanyika 
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
,
A 7
Baadhi ya 
 Wanafunzi wa Skuli za 
Sekondari 
za Serikali 
wakimsikiliza 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati 
wa 
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na 
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsikatika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
A 8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati 

A 9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati 
wa 
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na 
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi

katika
Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget