
Mmoja wa washiriki akichangia
wakati wa mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na
Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara


Sehemu ya washiriki wa mkutano
wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio
Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara


Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha
Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujuliza (Kulia) akisisitiza jambo
wakati mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na
Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara, kushoto ni Bw.
Albert Msangi
Post a Comment