Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo Taarifa ya
Kamati Shirikishi (Teule) ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ya kushughulikia
mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye pori tengefu la Loliondo kwenye
ukumbi wa Spika, bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wajumbe wa Kamati Shirikishi (TEULE) ya Mkuu wa Mkoa wa
Arusha ya kushughulikia mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye pori tengefu
la Loliondo kabla ya kupokea taarifa ya kamati hiyo kwenye ukumbi wa
Spika, bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuhusu
ramani ya pori tengefu la Loliondo kabla ya kupokea taarifa ya kamati
Shirikishi (TEULE) ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ya kushughulikia mgogoro
wa matumishi ya ardhi kwenye pori hilo. Taarifa hiyo ilikabidhiwa kwa
Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Spika mjini Dodoma Aprili 20, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, mrisho Gambo ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Kamati Shirikishi (TEULE) ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ya
kushughulikia mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye pori tengefu la
Loliondo kabla ya kupoke taarifa ya kamati hiyo kwenye ukumbi wa Spika,
bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment