Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia)akizungumza pale ugeni kutoka Umoja wa Wanamichezo wa
Mpira wa Miguu kutoka FC GRACE UNITED STATES ulipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini ...Read more »
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje
wa Norway Borge Brende aliyeambatana na ujumbe wake Ik...Read more »
Na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Serikali kupitia Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo imesema kuwa inakamilisha mapitio ya
Sera ya Maendeleo ya Michezo ya mwaka 1995 ...Read more »
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja
iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria kuhusiana na usimamizi ...Read more »
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu wakijadili kwa umakini
na katibu mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wakiongea na
waandishi wa habari(H...Read more »
Na Jonas Kamaleki-MAELEZO
Mkazi wa Mkoa wa Iringa, Thomas
Lubinza ametembea zaidi ya kilometa 502 kumuunga mkono Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John...Read more »
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati ya Uongozi
kilichokutana jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, kulia ni
Waziri wa Nch...Read more »
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Umoja wa Wavunaji Sao Hill (UWASA)
pamoja na Wadau wa mazao ya miti wamepongeza jitihada za Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli za ug...Read more »
Mgeni Rasmi Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akifuatilia jambo wakati wa
sherehe za 56 za kuwakubali na kuwasajiri, Mawakili wap...Read more »
NA BASHIR NKOROMO
Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaridhishwa sana na kazi nzuri
inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Mwenyekiti wa CCM,
Rais...Read more »
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa
amesema Serikali imeadhimia kupambana vilivyo dhidi ya biashara haramu
ya dawa za kulevya na kuhakikisha inakuwa historia nchini.
Pia ametoa wito k...Read more »
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimtunuku Nishani
ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Spika Mstaafu ...Read more »
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama dawa mbalimbali za kulevya katika maonyesho yaliyokwenda
sambamba na Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za
Kulevya ...Read more »