Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

SPIKA WA BUNGE AFIKA UBALOZI WA IRAN KUTOA POLE KUFUATIA SHAMBULIO LA KIGAIDI KATIKA BUNGE LA NCHI HIYO.

unnamed
Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai akisalimiana na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole  kufuatia shambuliyo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.
1
Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo  katika Ubalozi wa Iran kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6. Kushoto ni Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang.

2
Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai (katikati) akizungumza  na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole  kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.  Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini Mhe. Dotto Biteko ambaye aliambatana na Mhe Spika na kushoto ni Mkalimani wa Balozi huyo.
3
Spika wa Bunge Mhe Job  Ndugai akiagana  na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang mara baada ya kumpa pole  kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget