Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

PROF. MKUMBO ARIDHISHWA NA MAENDELEO WA MRADI WA NG’APA

unnamedMoja ya miundo mbinu  inayojengwa kwenye mradi  wa maji wa Ng’apa, mjini Lindi.

1
Katibu Mkuu Wizara ya Maji naUmwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akipata maelekezo kuhusu ramani ya ujenzi wa mradi wa Ng’apa kutoka kwa Mhandisi Mshauri wa Mradi, Innocent Mgaya
2Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye mazungumzo na Mhandisi Uendeshaji na Matengenezo, Yinus Krick kutoka Kampuni ya Lahmeyer na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi naUsafi wa Mazingira (LUWASA), Inj. Riziki Chambuso (katikati).
3
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akikagua moja ya miundo mbinu inayojengwa kwenye mradi wa maji wa Ng’apa, mjini Lindi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (LUWASA), Inj. Riziki Chambuso
………………………
KatibuMkuuwaWizarayaMajinaUmwagiliaji, Prof. KitilaMkumboameridhishwanamaendeleoyautekelezajiwamradiwamajiwaNg’apauliopomkoaniLindi, marabaadayaziaraaliyoifanyajanamjiniLindi.
Prof.Mkumboamefanyaziarahiyokwaniayakujuahaliyautekelezajiwamradihuomkubwa, ambaounatekelezwanaMamlakayaMajisafinaUsafiwaMazingirayamjiwaLindi (LUWASA),kamasehemuyakufuatiliamaagizoyaliyotolewanaMhe. RaisJohn Magufulimiezimichacheiliyopitawakatiakiwakatikaziarayakeyakikazimkoanihumo.
“HaliyahudumayamajiLindisinzuri, ukizingatiainakidhiasilimia 40 tuyamahitaji. KwamradihuuwaNg’apaukikamilikautatoahudumayamajikwaasilimia 100kwawakaziwamjiwaLindi, ikumbukweMhe. RaisalifanyaziaraLindinaakatoamaelekezokuhusumradihuu”, alisema Prof. Mkumbo.
Prof. MkumboalisemakuwaziarahiyonisehemuyakufuatiliautekelezajiwamaelekezoyaMhe. Raisnaamefurahishwanamaendeleoyamradihuo, nakuwamajiyameshafikanakilichobakinikupelekwakwenyechujioambalolipokwenyematengenezokablayakuanzakusambazwakwawananchi.
HukuakisisitizakuwaniwajibuwaSerikalikutoahuduma bora kwawananchina LUWASA hainabudikutekelezamradihuokwawakatikwaniabayaSerikali.
Wakatihuo, MkurugenziMtendajiwaMamlakayaMajisafinaUsafiwaMazingira (LUWASA), Inj. RizikiChambusoalisemamradihuoumefikiahatuanzurinawatatekelezaagizo la RaiskuwaifikapomweziJulaimradiutakuwaumekamilikanakuwapatiawakaziwaLindimjinimaji.
MradiwaNg’apanimojayamiradimikubwainayotekelezwanaSerikaliyaAwamuyaTanokamasehemuyaahadiyakenaunategemeakugharimu Sh. bilioni 29, kufikiasasa Sh. bilioni 22 zimeshatolewa. Ujenziwamradihuo, piautahusishaupanuziwamiundombinuyamajikwamaeneoambayohayajafikiwanamiundombinuhiyokwaajiliyakusambaziamaji.
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget