Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA

MWAGALA
unnamed
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa . akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge Job  Ndugai   katika  Futari  iliyo andaliwa na Spika  kwa ajili ya Wabunge , Wafanyakazi  wa Bunge na Wageni waalikwa  katika viwanja vya Bunge June 20. 2017 Mjini Dododma
1
Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa . akitoa salamu za Shukurani  kwaniaba ya WaBunge na wafanyakazi wa Bunge , kwa  Spika wa Bunge  Job  Ndugai , Kwakuwafuturisha  , June. 20 .2017 katika Viwanja vya  Bunge Mjini  Dodoma

2
Baadhi ya Wabunge wakibadilishina mawazo  wakati wa  futari iliyo andaliwa na Spika wa Bunge la Tanzania Job  Ndugai , kutoka  kulia,  Mbunge wa Ilala  Idd Zungu.  katikati  Mbunge wa  Bariadi Magharibi  Andrew Chenge .na kushoto ni Mbunge  wa Mbarali  Haroon Mulla  .Futari hiyo ilifuturiwa katika viwanja vya  Bunge  June 20, 2017 Mjini Dodoma
Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget