Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS


IMG_0012-1-640x427
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga na Taifa Stars Ally Mayay ‘Tembele’ leo Juni 19, 2017 amechukua fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF).
Mayay sambamba na mchezaji mwingine wa zamani Mtemi Ramadhani walifika TFF kwa ajili ya kuchukua fomu ambapo Mtemi Ramadhani yeye anawania nafasi ya makamu wa Rais wa TFF.
Wawili hao walisindikizwa ofisi za TFF na wadau mbalimbali wa soka akiwemo kocha Jamhuri Kiwelu ‘Julio’ pamoja na Jembe Ulaya.
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget