Rais Magufuli ateua mwingine kutoka Act - Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Act - Wazalendo, Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani
Post a Comment