Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI

unnamed
Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akiangalia Mtoto wa Darasa la asaba Uhuru  Mchanganyiko Mariana  Alex  Mwenye  ulemavu  wa macho  , anavyo weza kuandika  kwakutumia  mashine  maalumu  ya kuandika  , June 6 2017 Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbali mbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam

 1
Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akijaribu  kuandika  kwakutumia  kifaa maalumu  chakujifunzia  kuandika  watoto wenyeulemavu  wa  Macho  6 june2017, Kulia kwa Waziri Mkuu ni Waziri wa Elimu na Sayansi  Profesa  Joyce  Ndalichako,  Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbali mbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam
2
 Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na Ofisa  wa Banki ya Dunia anayeshughulikia  Elimu  nchini  Tanzania  Bibi  Cornelia  J esse , katikati ni Ofisa  wa  Ubalozi  Swiden  Nchini Tanzania  anayeshughulikia Elimu Bibi Helena  Reutersward , maofisa hao walishiriki katika  Uzinduzi  wa Usambaziji  vifaa   vya  kufundishia  Masomo ya  Sansi  Shughuli hiyo ilifanyika 6june2017   katika  Viwanja  vya  Jeshi  Lugalo  Dar es salaam

Picha na Ofisi  ya  Waziri  Mkuu
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget