Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, ACP Hamisi Issa, mara alipowasili katika mkoa huo akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ...Read more »
Lameck Ditto.
BAADA ya ngoma zake mbili alizotoa hivi karibuni kudaiwa kubuma, staa wa Wimbo wa Moyo Sukuma Damu, Lameck Ditto ‘Ditto’ amefunguka kuwa habari hizo siyo za kweli, kwani kwa upande wa...Read more »
Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja
Mshambuliaji mpya wa Simba, John Raphael Bocco anatarajiwa kuikosa mechi ya watani wa Jadi 'Ngao ya Jamii' inayochezwa leo jioni katika uwanja wa Taifa Jij...Read more »
Bonyeza Links Zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply6 Jobs Opportunities at NMB TanzaniaJob Opportunity at Vodacom TanzaniaJob Opportunity at Qatar Airways, Reservation & Ticketing SupervisorJob Oppo...Read more »
Kiungo mpya wa timu hiyo, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima.
WAKATI kikosi cha Simba leo hii kikishuka uwanjani kupambana na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa timu hiyo, Mnyarwanda, ...Read more »
BENCHI la Ufundi la Yanga, limesema kuwa leo Jumatano linaanza kuhesabu makombe ya msimu wa 2017/18 kutokana na kuwa na uhakika wa kuifunga Simba.Leo Jumatano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es S...Read more »
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), jana ulibomoa nyumba tatu zilizopo Kimara Stop Over, jijini hapa ambazo ni kati ya 286 zilizowekewa kinga ya muda na Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi.Hiyo ni ...Read more »
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Siro, amejibu tuhuma zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa jeshi la polisi linatumika kisiasa na kuwaonea vi...Read more »
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe William Lukuvi amesema mtu yoyote asiyelipa kodi ya ardhi na kuendeleza ardhi hiyo, ni sababu tosha ya kunyang'anywa ardhi hiyo pamoja na kufutiw...Read more »
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa.
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetiliana saini na Kampuni ya Thades ya Ufaransa kuhusu mkataba wa ufungaji wa mitam...Read more »
Kama ukinywa damu kasi kidogo sana (labda vijiko vichache vya chai), na iwapo damu hiyo haina vijidudu vya bakteria au virusi vya magonjwa, basi damu hiyo yaweza isiwe na madhara kiafya. Kama damu ...Read more »
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari, atalazimika kufanyia kazi zake akiwa nyumbani baada ya panya kuharibu ofisi yake iliyopo Ikulu.Msemaji wa Rais Buhari, Garba Shehu, amesema, panya hao wameharibu ...Read more »
Tatizo la kuharibika kwa mimba limekuwa tatizo kubwa, na limekuwa likiwatesa wengi, kama we ni mongoni mwa watu hao nakusihi usome makala haya ili kuepukana na matatizo haya. Somo hili ni mahususi k...Read more »
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni mfumo katika mwili unaohusika na umeng'enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili.Sehemu kuu zinazohusika katika umeng'enyaji huo ni k...Read more »
Wafanyikazi sita wa baraza la mji wa Ntugumo nchini Uganda wamesimamishwa kazi kwa madai ya kutovaa tai.Kulingana na gazeti la Daily Nation, walisimamishwa kazi na afisa mkuu Kweyamba Ruhemba ambaye...Read more »