Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII


JM1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017
JM2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017
JM3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017 akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana na 
JM4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017 akiwa kaongozana na  Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana naye
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget