Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

Mahakama nchini India yapiga marufuku talaka ya kiislamu ya kutamka neno talaq mara tatu

A bride is sitting with her hand covered in hennaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionFive Muslim women moved the Supreme Court to declare instant divorce unconstitutional
MAHAKAMA  ya juu Nchini India imeamua kuwa talaka ya mara moja katika dini ya kiislamu ni kinyume na katiba, uamuzi ambao umekuwa ni ushindi mkubwa kwa haki wanawake.
India ni moja ya nchi chache ambapo mwanamume muislamu anaweza kumtaliki mkewe kwa kutamka neno talaq mata tatu.
Uamuzi huo wa mahakama unafutia kesi zilizokuwa zikipinga talaka hiyo ambapo kesi hizo ziliwasilishwa mahakamani na wanawake watano waislamu waliokuwa wamepewa talaka kwa njia hiyo pamoja na na makundi mawili ya kutetea haki.
Miaka ya hivi karibuni visa vingi vimeibuka ambapo wanaume waislamu huwataliki wake zao kwa kutamka neno talaq mara tatu, kwa njia ya simu au kwa kutuma ujumbe ya sms, kupitia WhatsApp na Skype.
Licha ya njia hiyi ya kutaliki kutumiwa kwa miongo kadha hiajatajwa popote pale kwenye Sharia au Koran
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget