Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN


SPIKA PICHA 1
Mhe. Spika Job Ndugai akizungumza  na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii katika Bunge la Iran, Mhe Dkt, Abdolreza Aziz,wakati alipotembelea Bungeni hapo kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran.
SPIKA PICHA 2
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwasili Tehran kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran ambapo kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo, Rais huapishwa Bungeni na Spika.Mheshimiwa Spika yuko Tehran kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la nchi hiyo akiwawakilisha Maspika wa Afrika
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget