Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na
Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues
wakati wa kikao na watendaji wa Wizara pamoja na UNESCO kujadili
mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar
es Salaam
Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini
Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues (wapili kushoto) akizungumza wakati wa
kikao na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe (kushoto) pamoja na watendaji wa Wizara kujadili mashirikiano
yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Msaidizi Tathmini na
Ufuatiliaji kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.
Benard Lubogo (katikati) akichangia mada wakati wa kikao na watendaji
kutoka UNESCO kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia
ya nchi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika
la Utangazaji la Taifa (TBC) Bibi. Martha Swai
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokea moja ya
kitabu chenye kumbukumbu ya historia ya Afrika ikiwemo Tanzania kutoka
kwa Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues
wakati wa kikao na watendaji wa Wizara pamoja na UNESCO kujadili
mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar
es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa) katika picha
ya pamoja na watendaji wa Wizara yake na watendaji kutoka UNESCO baada
ya kikao na watendaji hao kujadili mashirikiano yaliyopo katika
kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi
Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues na kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bibi. Martha
Swai
Picha na: Genofeva Matemu -WHUSM
Post a Comment