Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

KAMANDA WA KIKOSI CHA WANAMAJI KUTOKA NCHINI AUSTRALIA AMTEMBELEA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA

MSTAHIKI Meya wa jiji la  Dar es Salaam Isaya Mwita leo ametembelewa ofisini kwake na Kamanda wa kikosi cha maji Nchini Australia Cameron Steily ambapo pamoja na mambo mengine , ametumia nafasi hiyo kumkaribisha mwenyeji wake jijini hapa.  Kamanda Cameron atakuwepo  Jijini hapa  hadi  Mei 15.
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily akimkabizi zawadi Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo alipomtembelea ofisini kwake leo.
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily akimsisitiza jambo Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita alipomtembelea ofisini kwake leo. Meya Mwita alitumia nafasi hiyo kumkaribisha jijini hapa




Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kulia akizungumza jambo na Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji Nchini Australia Cameron Steily mapema leo alipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kumsalimia.

Picha zote na Christina Mwagala. Ofisi ya Meya wa Jiji.





Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget