Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

MANJI ATHIBITISHA RASMI KUACHIA NGAZI YANGA,SANGA KUONGOZA UENYEKITI




Mwenyekiti wa klabu ya Yanga,Yusuf Manji amethibitisha rasmi kuwa ameachia ngazi ya kuiongoza timu kongwe hiyo na amesema hawezi kuongea zaidi wakati barua inajionyesha.
Akizungumza na mtandao huu muda sio mrefu amesema kuwa ameachana na Yanga ili wengine waweze kuiendesha kwani yeye amefanya mambo makubwa kwa hiyo ambapo alishindwa kufika mwingine atakuja kuendeleza
Barua yenyewe hii hapa.

Barua ya Manji-SALEHJEMBE A
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget