Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 34, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 25, 2017.

unnamed
 Mwenyekiti wa Bunge Mwenyekiti   wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
JE
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama  akiomba Bunge kutengua Kanuni zake na kuruhusu Bunge kuhairisha shughuli zake saa kumi na mbili jioni ili kuruhusu wabunge ambao ni waumini wa dini ya Kiislaamu kutimiza matakwa ya mfungo mtukufu wa Ramadhani unaotarajiwa kuanza Jumamosi.
unnamed
 Naibu Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana,Ajira na Kazi Mhe. Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
OLE
 Mhe. William Ole Nasha Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
MBAAAAAAAA
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Mhe. Prof Makame Mbarawa na Naibu wake Mhe.Edwin Ngonyani wakijadiliana jambo katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
LUK
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiwasilisha  Makadirio ya Maapto na Matumizi ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.

MCH
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Philip Mpango katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
MWAI
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji  Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
MWI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
MAR
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mbeya  Mhe. Mary Mwanjelwa akiuliza swali katika kikao cha thelasini na nne chaMkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
BU
 Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Abdallah Bulembo akiuliza swali katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
FT
Mbunge wa Mbulu Vijijini Mhe. Flatei Massay akiuliza swali katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
MC
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi  Mhe. Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha Mjini  Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
BV
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medard Kalemani katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
unnamed
 Mbunge wa Hanang Dkt Mary Nagu akiuliza swali katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
JAN
Mbunge wa Ileje Mhe.Janeth Zebedayo Mbene akiuliza swali katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
MBAO
Timu ya Mpira ya Mbao FC kutoka Mwanza wakifuatilia mijadala mbalimbali Bungeni, Mbao Fc wapo Mjini Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya Mchezo wa fainali za FA kati yao na Simba Fc zitakazofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma Jumamosi ya May 27, 2017.
YAN
Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara Dar Young African “Yanga” kwa msimu 2016/2017 wakifuatilia mijadala mbalimbali Bungeni Mjini Dodoma.
unnamed
 Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara Dar Young African “Yanga” kwa msimu 2016/2017 wakifurahia na mawaziri na wabunge mara baada ya kulileta kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Bungeni Mjini Dodoma.
JE
Mbunge wa Mtwara Vijijini Mhe. Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
unnamed
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Philip Mpango akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017. 
Picha Zote na Raymomnd Mushumbusi Dodoma MAELEZO, DODOMA
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget