Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 23, 2017.


8073-Mwenyekiti zungu
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza  kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0023-Mhe.Manyanya
 Naibu Waziri Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0051-Mhe.Mwigulu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe,Mwigulu Nchemba  akifafanua jambo katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
9929-mhe.Ngonyani
 Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0199-Mhe.Kamwelwe
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
OLE
 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.

0113-Lukuvi na Nassari
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi  akizungumza jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA)  katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0353-Magembe akiwasilisha Hotuba
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof.Jumanne Maghembe akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0114-Mbunge wa Kalambo
Mbunge wa Kalambo(CCM) Mhe.Josephat Kandege  akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0035-Mhe.Shioza
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Juliana Shonza akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
9936-Mhe.Malocha
Mbunge wa Kwela (CCM) Mhe.Ignas Malocha akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0137-Mhe.Mkuchika
Mbunge wa Newala Mjini (CCM) Mhe.Kapt.Mst.George Mkuchika akiuliza swali katika  kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0151-Mhe.Mwinyi
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
0287-Viongozi wa Maliasili na Utalii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe.Maj.Gen.Gaudence Milanzi na Naibu Katibu Mkuu  Dkt.Aloyce Nzuki wakiwa na Menejimenti ya Wizara iyo leo Bungeni ambapo hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo itasomwa katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget