Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

SERIKALI YAWAHIMIZA WANANCHI KUCHANGAMKIA MIFUKO YA UWEZESHAJI KIUCHUMI NCHINI.


Image result for picha ya anthony mavunde
Na DaudiManongi
Serikali kupitia Baraza la Uwezeshaji wana nchi kiuchumi (NEEC) lililopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu imewataka wananchi kuitumia vyema mifuko 19 ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ilikujipatia mitaji yenye riba nafuu.
Hayo yamesemwa leo Bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde wakati akijibu maswali mbalimbali ya wabunge leo Mjini Dodoma.
“Serikali inawawezesha wananchi ili waweze kukopesheka kupitia Sera ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ya mwaka 2004 na Sheria yaUwezeshaji wananchi kiuchumi Na.6 yamwaka 2004, Alisema Mhe.Mavunde.

AmesemaSera hiiimeainishaniayaSerikaliyakuwekamazingiramazuriyaupatikanajiwamitajikwakuboreshavyanzovyaakibanakuchukuwahatuazakuondoavikwazombalimbaliilikuwezeshamabenkikukopeshakikamilifuamanazilizopokwagharamanafuu,kupitiavikundividogo,SACCOSnaVicoba.
Aidhakutokanana Sera hiiMipango,MiradinaMifukokadhaaimeanzishwanaSerikaliilikuwezeshawananchikukopakwaurahisiambapokatikamifukohiyo 19 baadhiyakenipamojanaMfukowakuendelezawajasirimaliwananchi,mfukowa
uwezeshajiwamwananchi,mfukowapembejeozakilimo,mfukowamaendeleoya
vijana, mfukowadhamanazamikopokwawajasiriamaliwadogonawakati,mfukowa
dhamanazamikopokwamauzoyanjeyanchiambapohadikufikiamwaka 2016 mifukohiiilikuwaimetoamikopoyatrilioni 1.7 kwawajasiriamali 400,000.
PamojanahayoSerikaliimeendeleakuwekamazingiramazurikwavyombohivyokuwezakutoahudumakwawananchi.
“SerikalikupitiaBenkikuuya Tanzania kulingananamazingirainaendeleakuangaliaviwangovyaribakwamabenkinaTaasisizafedhailizimudukupatafedhazaidikwaajiliyakukopeshawajasiriamalikwaribandogo,ambapopiaimechukuahatuayakupunguzakiwango cha ribakwamikopoyakekutokaasilimia 16 hadiasilimia 12 ”,AlisisitizaMavunde
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget