Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wadau wa Habari kwenye Maadhimisho
ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani hapo katika Chuo cha Habari Kilimani
Mjini Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud, Katibu Mtendaji Baraza la Habari Tanzania Bw.
Kajubi Mukajanga, kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Chuo cha Habari
Zanzibar Nd. Chande Omar na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Utalii na Michezo anayesimamia Habari Nd. Hassan Mitawi.
Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande Omar Omar akitoa ufafanuzi juu ya Umuhimu wa Wanahabri kuzingatia suala la Amani katika uandishi wao wa kila siku.

Viongozi wa Meza Kuu kutoka kulia Katibu Mtendaji wa MCT Bw. Kajubi Mukajanga, Mkuu wa Mkoa Mjini Maghribi Mh. Ayoub, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif, Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Nd. Hassan Mitawi wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari hapo Kilimani.

Kikundi cha Utamaduni cha Mkoa Mjini Magharibi kilitoa Burdani katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari hapo katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Mjini Zanzibar.
Post a Comment