WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu walipokuwa katika
Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo
01/5/ 2017 Katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani
Kilimanjaro. Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP. Dr
Reginali Mengi walipokuwa katika Sherehe za Mei Mosi
zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro leo 01/5/ 2017 katika
viwanja vya Chuo cha Ushirika mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Wabunge wakiwa pamoja na watumishi wa Serikali katika
Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo
katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro Wafanyakazi
wa Kiwanda Chakutengenza Sukari (TPC) Wakipita Kwa maandamo mbele ya
mgeni Rasimi Rais Dr John Magufuli ikiwa ni ishara ya kusheherekea
Maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi Duniani ambapo Tanzania Kitaifa
yamefanyika mkoani Kilimanjaro
Post a Comment