Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

Meya Mwita amtembelea Kardinal Pengo ofisini kwake leo



MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amemtembelea  Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo Ofisini kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph ikiwa ni baada  ya kutoka Nchini Marekani Juni 18 mwaka huu alipokuwa ameenda kwa ajili ya matibabu.

. Displaying IMG_1781.JPG
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akipata Baraka kutoka kwa Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo, katika kanisa la Mtakatifu Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.

Displaying IMG_1769.JPG
Displaying IMG_1766.JPG
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsikiliza Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini hapa.
Displaying IMG_1761.JPG
Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo akizungumza na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kuhusu hali ya afya yake alipomtembelea leo Ofisini kwake ,kanisa la Mtakatifu. Joseph.
Displaying IMG_1760.JPG
           
 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.

Displaying IMG_1782.JPG

Displaying IMG_1776.JPG

Displaying IMG_1775.JPG

PICHA ZOTE NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJI
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget