Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AMPOKEA WAYNE ROONEY NA EVERTON YAKE UWANJA WA NDEGE

WAZI01
Waziri Dk Harisson Mwakyembe akisalimiana na Mchezaji Wayne Rooey wa timu ya Everton ya Uingereza inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo EPL mara baada ya kikosi hicho kuwasi;li kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu JNIA jijini Dar es salaam Everton inatarajiwa kushuka dimbani kesho kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na timu ya Golmahia ya Kenya mchezo ulioandaliwa na kampuni ya SportPesa.
WAZI1
Baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu hiyo wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili jijini Dar es salaam asubuhi hii
WAZI2
KIkosi cha timu ya Everton ya Uingereza kikiwa katika picha ya pamoja wakati kikishuka kwenye ndege iliyoileta timu hiyo kwenye uwanja wa Ndege wa JNIA jijini Dar es salaam.
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget