Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO


Mwenyekiti wa Klabu ya Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akikabidhi
kikombe kwa nahodha wa timu ya mpira wa miguu wa klabu ya Gymkhana Ali
Mmandi (mwenye jezi ya kijani) baada ya timu yake kuibuka kidedea katika
michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya
klabu hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jana jijini Dar es
salaam.

Mwenyekiti
wa Klabu ya Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akikabidhi kikombe kwa
nahodha wa timu ya mpira wa miguu wa klabu ya Gymkhana Ali Mmandi
(mwenye jezi ya kijani) baada ya timu yake kuibuka kidedea katika
michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya klabu
hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jana jijini Dar es
salaam.

Kapteni wa Mchezo wa Snooker wa Klabu ya Gymkhana, Shaizad Bhanji
akishiriki katika mashindano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho
ya miaka 100 ya klabu hiyo katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es
salaam hivi karibuni.

Michuano ya mpira wa miguu ikiendelea

Mchezaji wa mpira wa Golf  Mwanaidi Ibrahim akishiriki
katika michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100
ya klabu hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jana jijini Dar
es salaam.
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget