Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

MEYA WA JIJI NA MEYA WA KINONDONI WATEMBELEA BANDA LA (LAPF) MAONYESHO YA SABASABA

L1
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mh. Isaya Mwita akizungumza na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Mfuko wa LAPF na Jiji la Dar es salaam wana Mpango  kabambe wa kutekeleza ujenzi wa kituo kipya cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Dar es salaam utakaogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 30.
L2
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akitoa maelezo kwa Meya wa Jiji  na Meya wa Kinondoni Mh. Benjamin Sitta wakati mameya hao walipotembelea katika banda la mfuko huo leo
L3
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mh. Isaya Mwita  na Meya wa Kinondoni Mh. Benjamin Sitta wakisaini kitabu cha wageni wakati walipowasili katika banda hilo kulia ni  Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF  Bw. James Mlowe.
L4
Matukio mbalimbali ya picha yakiontesha baadhi ya wafanyakazi wa LAPF wakiwahudumia wananchi waliofika kwenye banda la mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba barabara ya Kilwa leo.
L5 L6
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget