Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh.
Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika
mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na
wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye
hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.(PICHA NA JOHN
BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Rais Mstaafu wa awamu ya pili
Mzee Ali Hassan Mwinyi akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki
katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye
makaburi ya Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa
serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita
kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
Mtoto wa Marehemu Omari Sisco
Mtiro akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya
Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu leo
mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi.
Waziri Mkuu mstaafu Mzee Salim
Ahmed Salim akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi
ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu
leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi
Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya
Agha Khan jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Mohamed
Chande akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya
Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu leo
mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi
Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya
Agha Khan jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali
Davis Mwamunyange akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika
mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na
wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye
hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa
Mstaafu Mzee Othman Rashid akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki
katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye
makaburi ya Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa
serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita
kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.
Paul Makonda akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika
mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na
wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye
hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani
Kikwete mwenye miwani na Mkurugenzi wa JP Solution Juma Pinto pamoja na
waombolezaji wengine wakishiriki kumzika Marehemu Balozi Sisco Mtiro
kwenye makaburi ya Kisutu leo
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Sheikh Al Hadi Mussa mwenye koti pamoja na waombolezaji wengine
wakishiriki katika mazishi hayo.
Mwili wa Marehemu Balozi Sisco Mtiro ukiwasili kwenye makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi yaliyofanyika leo mchana.
Kutoka kulia ni Mbunge wa jimbo
la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete Mkurugenzi wa JP Solution Bw. Juma
Pinto na Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Mh. Aden Rage
wakijadiliana jambo wakati wa mazishi hayo.
Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu
Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mtoto wa Marehemu Omari Sisco Mtiro, Rais
Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete na Jaji Mkuu Mstaafu Jaji Mohamed Othman
Chande wakiwa katika mazishi hayo.
Mzee Ali Hassan Mwinyi
akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakati alipowasili
makaburini kwa ajili ya kushiriki katika mazishi hayo.
Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete akiwasili makaburini tayari kwa kushiriki katika mazishi hayo.
Kutoka kulia ni Abas Mtemvu
aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Temeke, Idd Azan aliyewahi kuwa mbunge
wa jimbo la Kinondoni na Baraka Konisaga mkuu wa wilaya Mstaafu
wakijadiliana jambo wakati wa mazishi hayo.
Post a Comment