Moja ya miundo mbinu inayojengwa kwenye mradi wa maji wa Ng’apa, mjini Lindi.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji
naUmwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akipata maelekezo kuhusu ramani ya
ujenzi wa mradi wa Ng’apa kutoka kwa Mhandisi Mshauri wa Mradi, Innocent
Mgaya
Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye
mazungumzo na Mhandisi Uendeshaji na Matengenezo, Yinus Krick kutoka
Kampuni ya Lahmeyer na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi
naUsafi wa Mazingira (LUWASA), Inj. Riziki Chambuso (katikati).
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na
Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akikagua moja ya miundo mbinu
inayojengwa kwenye mradi wa maji wa Ng’apa, mjini Lindi pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira
(LUWASA), Inj. Riziki Chambuso
………………………
KatibuMkuuwaWizarayaMajinaUmwagiliaji,
Prof.
KitilaMkumboameridhishwanamaendeleoyautekelezajiwamradiwamajiwaNg’apauliopomkoaniLindi,
marabaadayaziaraaliyoifanyajanamjiniLindi.
Prof.Mkumboamefanyaziarahiyokwaniayakujuahaliyautekelezajiwamradihuomkubwa,
ambaounatekelezwanaMamlakayaMajisafinaUsafiwaMazingirayamjiwaLindi
(LUWASA),kamasehemuyakufuatiliamaagizoyaliyotolewanaMhe. RaisJohn
Magufulimiezimichacheiliyopitawakatiakiwakatikaziarayakeyakikazimkoanihumo.
“HaliyahudumayamajiLindisinzuri,
ukizingatiainakidhiasilimia 40 tuyamahitaji.
KwamradihuuwaNg’apaukikamilikautatoahudumayamajikwaasilimia
100kwawakaziwamjiwaLindi, ikumbukweMhe.
RaisalifanyaziaraLindinaakatoamaelekezokuhusumradihuu”, alisema Prof.
Mkumbo.
Prof.
MkumboalisemakuwaziarahiyonisehemuyakufuatiliautekelezajiwamaelekezoyaMhe.
Raisnaamefurahishwanamaendeleoyamradihuo,
nakuwamajiyameshafikanakilichobakinikupelekwakwenyechujioambalolipokwenyematengenezokablayakuanzakusambazwakwawananchi.
HukuakisisitizakuwaniwajibuwaSerikalikutoahuduma
bora kwawananchina LUWASA
hainabudikutekelezamradihuokwawakatikwaniabayaSerikali.
Wakatihuo,
MkurugenziMtendajiwaMamlakayaMajisafinaUsafiwaMazingira (LUWASA), Inj.
RizikiChambusoalisemamradihuoumefikiahatuanzurinawatatekelezaagizo la
RaiskuwaifikapomweziJulaimradiutakuwaumekamilikanakuwapatiawakaziwaLindimjinimaji.
MradiwaNg’apanimojayamiradimikubwainayotekelezwanaSerikaliyaAwamuyaTanokamasehemuyaahadiyakenaunategemeakugharimu
Sh. bilioni 29, kufikiasasa Sh. bilioni 22 zimeshatolewa.
Ujenziwamradihuo,
piautahusishaupanuziwamiundombinuyamajikwamaeneoambayohayajafikiwanamiundombinuhiyokwaajiliyakusambaziamaji.
Post a Comment