Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Dkt. A.P. Makakala akieleza jambo kwa Mufti Mkuu wa Tanzania , Sheikh
Abubakary Zubeiry bin Ally, alipomtembelea Mufti Ofisini kwake Kinondoni
leo asubuhi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Dkt. A.P. Makakala akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
Ofisini kwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally,
leo asubuhi Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni, Dar es Salaam. Katikati
ni Mshauri wa Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Khalid.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Dkt. A.P. Makakalla akiwa katika picha ya pamoja na Mufti Mkuu wa
Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, pamoja na baadhi ya
Masheikh na Maafisa wa Ofisi ya Mufti leo asubuhi Makao Makuu ya
BAKWATA, Kinondoni, Dar es Salaam
Post a Comment