Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasili
katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bungeni
Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha
Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016, Mjini Dodoma, ambapo
katika mwaka huo, pato la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0, likichangiwa
na kukua kwa sekta ya ufuaji umeme, kuimarika kwa huduma za usafirishaji
na uhifadhi wa mizigo, sekta ya habari na mawasiliano, ujenzi na
uchimbaji wa madini na mawe.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha
Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016, Mjini Dodoma, ambapo
katika mwaka huo, pato la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0, likichangiwa
na kukua kwa sekta ya ufuaji umeme, kuimarika kwa huduma za
usafirishaji na uhifadhi wa mizigo, sekta ya habari na mawasiliano,
ujenzi na uchimbaji wa madini na mawe.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango)
Post a Comment