BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL
MWAGALA
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akijitambulisha
kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin kabla ya kuwasilisha hati
zake za utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiwasilisha
hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin
Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem
Akiwa amevaa baragashia ya kitamaduni ya Kiyahudi maarufu
kama “Kippah” Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima
akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki
mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za
utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya
nchi hiyo mjini Jerusalem.

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima
akikaribishwa rasmi baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na kusoma salamu
maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew
baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel
Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima
akikaribishwa rasmi kwa toast baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu
kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa
Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taifa
Post a Comment