Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera,Bunge,Kazi, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe,Jenista Mhagama
akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu Maadhimisho
ya Sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
yatakayofanyika Mkoani Dodoma 26 Aprili 2017.Kulia kwake ni Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Januari Makamba
na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bw.Jordan Rugimbana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mhe.Januari Makamba akizungumza na waandishi
wa habari leo Mjini Dodoma kuhusu matukio mbalimbali yatakayokuwepo
katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar yatakayofanyika Mkoani Dodoma 26 Aprili 2017.Kushoto kwake ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi, Ajira na watu wenye
Ulemavu Mhe,Jenista Mhagama na mwishoni ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Bw.JordanRugimbana.
Mkoawa
DodomaBw.JordanRugimbanaakizungumzanawaandishiwahabari(hawapopichani)juuyamaandaliziyaMaadhimishoyaSherehezaMiaka
53 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyikaMkoani Dodoma
26Aprili 2017
nakuwatakawananchikujitokezakwawingi.KuliakwakeniWaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuuSera,Bunge,Kazi,
AjiranawatuwenyeUlemavuMhe,JenistaMhagamanaWaziriwaNchiOfisiyaMakamuwaRaisMuunganonaMazingiraMhe.JanuariMakamba.
MkurugenziMkuuIdarayaHabari-MAELEZO
Dkt.Hassan
AbbasakisisitizajambokwaWaandishiwaHabarikuhusuMaadhimishoyaSherehezaMiaka
53 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyikaMkoani Dodoma 26
Aprili 2017.KUlia kwakeniWaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuuSera,Bunge,Kazi,
AjiranawatuwenyeUlemavuMhe,JenistaMhagama
,WaziriwaNchiOfisiyaMakamuwaRaisMuunganonaMazingiraMhe.JanuariMakambanaMkuuwaMkoawa
Dodoma Bw.JordanRugimbana.
KatibuMkuuOfisiyaWaziriMkuu(Sera
naUratibu) Dkt.HamisMwinyimvua(kushoto)
naMkurugenziIdarayaUratibunaMaadhimishoyaKitaifaOfisiyaWaziriBi.FloraMazilengwewakifurahiajambokatikaMkutanonawaandishiwaHabarikuhusujuuyamaandaliziyaMaadhimishoyaSherehezaMiaka
53 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyikaMkoani Dodoma 26
Aprili 2017.
Waandishi
waHabarikutokaVyombombalimbaliwakimsikilizaWaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuuSera,Bunge,Kazi,
AjiranawatuwenyeUlemavuMhe,JenistaMhagamawakatiakizungumzanaokuhusumaandaliziyaMaadhimishoyaSherehezaMiaka
53 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyikaMkoani Dodoma 26
Aprili 2017.
MkutanowaWaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuuSera,Bunge,Kazi,
AjiranawatuwenyeUlemavuMhe,JenistaMhagama,
WaziriwaNchiOfisiyaMakamuwaRaisMuunganonaMazingiraMhe.JanuariMakambanaMkuuwaMkoawa
Dodoma
Bw.JordanRugimbananawaandishiwahabariukiendeleajuuyamaandaliziyaMaadhimishoyaSherehezaMiaka
53 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyikaMkoani Dodoma 26
Aprili 2017.
Katibu
MkuuOfisiyaMakamuwaRaisProf.FaustineKamuzoraakifuatiliataarifayaWaziriwaNchiOfisiyaMakamuwaRaisMuunganonaMazingiraMhe.JanuariMakambawakatiwamkutanonawaandishiwaHabarikuhusumaandaliziyaMaadhimishoyaSherehezaMiaka
53 yaMuunganowa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyikaMkoani Dodoma 26
Aprili 2017.
PichazotenaDaudiManongi DODOMA.
………..
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama ameeleza
kukamilika kwa maandalizi ya kuadhimisha sherehe za miaka 53 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazofanyika Viwanja vya Jamhuri
Mjini Dodoma, siku ya jumatano Aprili 26, 2017.
Ameyasema hayo leo wakati akizungumza waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika Aprili 22, 2017 katika Ofisi yake Dodoma.
“Nipende kuwaeleza Watanzania wote
kuwa hadi sasa maandalizi ya kuifikia siku ya Maadhimisho ya Sherehe za
Muungano tayari yamekamilika kwa kuangalia mambo yote yaliyopangwa
katika ratiba ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.John Magufuli.”Alisema Waziri Mhagama.
Amesema sherehe hizo zitakuwa na
upekee wa aina yake ukizingatia kuwa ni mara ya kwanza tangu Serikali
ilipotimiza adhma yake ya kuhamia Dodoma.
Akitaja upekee huo, Waziri Mhagama
amesema sherehe hizo zitapambwa na Gwaride la heshima lililoandaliwa na
Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Maonesho ya Kikosi cha Makomando, Onesho
la Mbwa na Farasi waliofunzwa, onesho la Ukakamavu la Uzalendo la
Wanafunzi kutoka shule za Sekondari za Dodoma, burudani za vikundi vya
ngoma kutoka Kaskazini Pemba pamoja na Bendi ya mziki wa kizazi kipya
kutoka Dodoma, Yamoto Bend na Mwenge Jazz.
“Ikumbukwe hii itakuwa mara ya
kwanza kuiadhimisha sherehe hii ya Miaka 53 ya Muungano wetu kwa
kuzingatia Serikali sasa imeshahamia Dodoma na tayari Watendaji wake
wapo huku hivyo tuitumie fursa hii kuwaalika Wananchi wote kuudhuria kwa
wingi ili kuifanikisha na kuonesha Umoja wetu.”Alisistiza Waziri
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba ametoa
wito kwa Watanzania wote wajitokeze kwa wingi kwenda kuangalia
mafanikio yaliyotokana na uwepo wa Muungano huo.
“Muungano huu umetupa mafanikio
mengi ikiwemo; kuijengea nchi heshima, kuwepo kwa Katiba, kuimarika kwa
Taasisi za kimuungano, ongezeko la masuala ya kimuungano kutoka 11 hadi
22, ongezeko la usalama, Kuwepo Mfumo dhabiti wa kushughulikia
changamoto za Muungano na ongezeko la ushirikiano kwa masuala yasiyo ya
Kimuungano.”Alieleza waziri Makamba.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.
Jordan Rugimbana alipongeza jitihada za Ofisi ya Waziri Mkuu hususan
Kitengo cha Maadhimisho kwa kushirikiana na Ofisi yake kwa kuratibu na
kuhakikisha maandalizi yote yamekalika kwa wakati uliopangwa.
“Niipongeze Ofisi ya Waziri Mkuu
kwa jitihada zake kuiratibu siku hii muhimu kwa Taifa letu, na nitoe
wito kwa Wakazi wa Dodoma na walioko nje ya Mji kuonesha mfano kuja kwa
wingi ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.”Alisisitiza Mhe.Rugimbana.
Post a Comment