Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimkabidhi mpira uliosainiwa kwa saini yake Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano UN Tanzania Bi. Hoyce Temu mara baada ya kununua mpira huo
katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17 Serengeti Boys
inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao,
Harambee hiyo ilifanyika jana jioni kwenye hoteli ya Serena jijini Dar
es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimkabidhi jezi ya timu ya taifa mwanasheria Emmanuel Muga baada ya
kununua jezi hiyo katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana
U17 inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi
ujao, Harambee hiyo ilifanyika jana jioni kwenye hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimkabidhi picha ya timu ya taifa Serengeti Boys Makamu Mwenyekiti wa
Klabu ya Simba Bw. Geofrey Nyange Kaburu mara baada ya kununua picha
hiyo katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17
inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao
Harambee hiyo ilifanyika jana jioni kwenye hoteli ya Serena jijini Dar
es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimpongeza Waziri wa Habari, Utamaduzi, Sanaa na Michez0 Dk. Harrison
Mwakyembe katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17
inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao
Harambee hiyo ilifanyika jana jioni kwenye hoteli ya Serena jijini Dar
es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk Harisson Mwakyembe akizunguza katika hafla hiyo.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa
miguu Tanzania TFF Bw. Jamal Malinzi akizungumza wakati wa harambee hiyo
iliyofanyika jana jioni kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Charles Hilarry Mmoja wa wajumbe wa kamati ya kuchangia timu ya Taifa ya Serengeti Boys akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
akizungumza na wageni waalikwa mbalimbali walioshiriki katika harambee
hiyo kwa ajili ya kuichangia timu ya Serengeti Boys.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
akipiga mpira kama ishara ya kuiunga mkono timu ya Taifa Serengeti Boys
ili kuleta mafanikio katika michuano hiyo inayrtarajiwa kufanyika nchini
Gabon.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na waalikwa mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa Harambee hiyo.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Nchini TFF Bw. Jamal Malinzi.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Bw. Jamal Malinzi
wa,iangalia picha za wachezaji wa Serengeti Boys.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa masoko wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena,Bw. Seraphin Lusala
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliochangia timu ya Serengeti Boys.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UN Tanzania Bi. Hoyce Temu akipozi kwa picha na baadhi ya wadau.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya Kuchangia timu ya
Taifa ya Serengeti Boys na uongozi wa TFF.
Post a Comment