Msanii nyota wa filamu Tanzania,
Kajala Masanja, kulia akishiriki katika droo ya kwanza ya bahati nasibu
ya Ijue Nguvu ya Buku inayoendeshwa na Kampuni ya Biko ambapo ilimpata
mshindi wake wa kwanza wa Sh Milioni 10 ambaye ni Christopher Mgaya, Dar
es Salaam jana. Kushoto ni Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
nchini, Juhudi Ngolo.
Post a Comment