Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA JUMUIYA YA EAC

Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (kushoto), akizungumza katika Mkutano wa Wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA), Lushoto Mkoani Tanga, wakati alipokuwa akiwahamasisha wanafunzi hao kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambapo amewataka kutumia maarifa yao yote kuhakikisha ushirikiano huo unakuwa wa kudumu
 Naibu Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) anayesimamia Elimu, Utafiti na Ushauri, Fahamu Mtulya akizungumza jambo katika warsha hiyo.

Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA), Lushoto Mkoani Tanga wakimsikiliza Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao juu ya umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ukafika muda wa maswali.

Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget