Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na
ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang
aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji
wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni
wake wake Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF)
Tao Zhang wanne kutoka (kushoto) Gavana wa Benki Kuu (BOT) Profesa Beno
Ndulu, wapili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe wa Mkurugenzi huyo wa IMF.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji
wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Post a Comment