Waziri wa Mambo ya NdaniyaNchi,
Mwigulu Nchemba akiwasilisha makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka
2017/2018 ambapo aliliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi
930,396,817,000 wakati wa kikao cha Bunge la Bajeti,mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba, akijibu maswali yaliyoelekezwa kwa wizara yake
wakati wa kipindi cha maswali yaliyoulizwa na Wabunge wakati wa Bunge la
Bajeti mjini Dodoma.Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Mhandisi Hamad
Masauni.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akijibu maswali yaliyoelekezwa kwa wizara
yake wakati wa kipindi cha maswali yaliyoulizwa naWabunge wakati wa
Bunge la Bajeti mjini Dodoma.Kushoto ni Waziri wa wizara hiyo, Mwigulu
Nchemba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na makamanda
wa Jeshi la Polisi muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge la
Bajeti ambapo wizara yake iliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya
Shilingi 930,396,817,000.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba akifurahia
nabaadhiyawabungemarabaadayakumalizakuwasilishamakadirioyaBajetiyakekwamwaka
2017/2018 ambapoaliliomba Bunge liidhinisheBajetiyajumlayaShilingi
930,396,817,000wakatiwakikao cha Bunge la Bajeti,mjiniDodoma.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment