Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed
Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha Wabunge Mhe Ali Mohamed
Kessy (Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe (viti maalumu – Mkoa wa
Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) kupokea
magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam
leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe.
Munde baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe Lucy
Mayenga baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Wabunge wa
Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la
kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9,
2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto)
na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles Mwankupili (kulia) na
Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde
tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu) baada ya kuwakabidhi
magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam
leo Mei 9, 2017.
PICHA NA IKULU
Post a Comment