Na DaudiManongi
Serikali kupitia Baraza la
Uwezeshaji wana nchi kiuchumi (NEEC) lililopo chini ya Ofisi ya Waziri
Mkuu imewataka wananchi kuitumia vyema mifuko 19 ya uwezeshaji wananchi
kiuchumi ilikujipatia mitaji yenye riba nafuu.
Hayo yamesemwa leo Bungeni na
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Vijana Mhe.Anthony
Mavunde wakati akijibu maswali mbalimbali ya wabunge leo Mjini Dodoma.
“Serikali inawawezesha wananchi
ili waweze kukopesheka kupitia Sera ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ya
mwaka 2004 na Sheria yaUwezeshaji wananchi kiuchumi Na.6 yamwaka 2004,
Alisema Mhe.Mavunde.
AmesemaSera
hiiimeainishaniayaSerikaliyakuwekamazingiramazuriyaupatikanajiwamitajikwakuboreshavyanzovyaakibanakuchukuwahatuazakuondoavikwazombalimbaliilikuwezeshamabenkikukopeshakikamilifuamanazilizopokwagharamanafuu,kupitiavikundividogo,SACCOSnaVicoba.
Aidhakutokanana Sera
hiiMipango,MiradinaMifukokadhaaimeanzishwanaSerikaliilikuwezeshawananchikukopakwaurahisiambapokatikamifukohiyo
19 baadhiyakenipamojanaMfukowakuendelezawajasirimaliwananchi,mfukowa
uwezeshajiwamwananchi,mfukowapembejeozakilimo,mfukowamaendeleoya
vijana, mfukowadhamanazamikopokwawajasiriamaliwadogonawakati,mfukowa
dhamanazamikopokwamauzoyanjeyanchiambapohadikufikiamwaka 2016 mifukohiiilikuwaimetoamikopoyatrilioni 1.7 kwawajasiriamali 400,000.
uwezeshajiwamwananchi,mfukowapembejeozakilimo,mfukowamaendeleoya
vijana, mfukowadhamanazamikopokwawajasiriamaliwadogonawakati,mfukowa
dhamanazamikopokwamauzoyanjeyanchiambapohadikufikiamwaka 2016 mifukohiiilikuwaimetoamikopoyatrilioni 1.7 kwawajasiriamali 400,000.
PamojanahayoSerikaliimeendeleakuwekamazingiramazurikwavyombohivyokuwezakutoahudumakwawananchi.
“SerikalikupitiaBenkikuuya
Tanzania
kulingananamazingirainaendeleakuangaliaviwangovyaribakwamabenkinaTaasisizafedhailizimudukupatafedhazaidikwaajiliyakukopeshawajasiriamalikwaribandogo,ambapopiaimechukuahatuayakupunguzakiwango
cha ribakwamikopoyakekutokaasilimia 16 hadiasilimia 12
”,AlisisitizaMavunde
Post a Comment