Wa
kwanza kulia ni mwakilishi wa chama cha wamiliki wauza mafuta rejareja
Kanda ya kaskazini Deipyen Bameda (TASDOA ) katikati ni Katibu mkuu
TASDOA Tinno Mmasi akiwa anafafanua jambo mara baada ya kumkabidhi mkuu
wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Rambirambi zao za vifo vya wanafunzi 32 wa Lucky Vicent
Dare salaam Independent School (DIS) Anna Msangi akiwa anakabidhi kiasi cha
shilingi milioni tatu kwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ikiwa ni mchango wao kwa wanafunzi wa Lucky Vicent
shilingi milioni tatu kwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ikiwa ni mchango wao kwa wanafunzi wa Lucky Vicent
mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akifafanua jambo ofisini kwake kabla ajapokea rambirambi hizoHabari pichana Woinde Shizza,Arusha
Baadhi ya Wanasiasa wametakiwa
kuacha mara moja kuchulia tukio la vifo vya wanafunzi 32 wa Lucky
Vicent kama sehemu yao ya kujinufaisha kisiasa, pamoja na baadhi yao
kupotosha jamii kupitia mitandao ya kijamii .
Hayo yamebainishwa jana na
mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati alipokuwa akipokea
rambirambi za wanafunzi 32 wa Lucky Vicent,zilizotolewa
na chama cha wamiliki wauza mafuta rejareja (TASDOA) pamoja na uongozi wa shule binafsi ya Dare salaam Independent School (DIS) ambapo alisema kuwa anasikitishwa sana na baadhi ya viongozi kuchukulia swala hili kama ni sehemu ya kujijengea umaarufu.

Alisema kuwa swala hili sio
tukio la kisiasa bali ni mtihani na changamoto kubwa iliyozikumba
familia za wananchi wa Arusha ,hivyo linatakiwa kuheshimika na
kuchukuliwa kama ni tatizo kubwa lililowakumba wananchi wa mkoa wa
Arusha na Tanzania kwa ujumla kwani kuwapoteza watoto hawa ni jambo la
kusikitisha sana kwani walikuwa wanategemewa kuwa viongozi wa baadae.
“pia napenda kuchukuwa fursa
hii kuwashukuru kwa kuleta michango yenu kwa ajili ya wanafunzi hawa 32
ila napenda pia kuwakumbusha kuwa jumla ya watu wote waliopata tatizo
walikuwa 38 lakini kati yao waliokufa ni 35 na wingine watatu ni
majeruhi hivyo napenda kuwasihi wananchi na mashirika ambayo wanaleta
msaada wasiangalie waliopoteza maisha tu bali wawakumbuke na wale
majeruhi watatu ambao wapo nje kwa matibabu kwani wao pia ni
binadamu”alisema Gambo
Alisema kuwa japo kuwa majeruhi
wale waliopelekwa nje kutibiwa wanaudumiwa bure lakini kuna wale watu
ambao wameenda nao pamoja ya kuwa wanahudumiwa chakula na malazi lakini
kwa binadamu waka waida anatakiwa kujitegemea kwa vitu vidogovidogo
hivyo ni vizuri kama watu wanaotoa msaada wata wakumbuka na hawa
majeruhi .
Kwa upande wake katibu mku u wa chama cha wamiliki wauza mafuta rejareja
(TASDOA) Tino Mmasi alisema kuwa wao kama wamiliki wawauza mafuta wadogowadogo wameguswa sana na msiba huu na ndio maana walioamua kukaa kama wanachama na kuchanga fedha hizi kiasi cha shilingi millioni saba laki saba
ili ziwafariji wafiwa hawa 35 na pia wameaidi kwend a kujichanga tena kwa ajili ya kuwachangia majeruhi ambao wapo Marekani

“tumetoa hiki kidogo lakini kwa jinsi tulivyoguswa tutaenda kuchanga fedha
zingine kwa ajili ya majeruhi waliopo marekani na tunapenda kukuaidi mkuu wa mkoa
tutakuwa nanyi bega kwa bega hadi majeruhi hawa wote wapone na warudi hapa nchini”alisema Mmasi
zingine kwa ajili ya majeruhi waliopo marekani na tunapenda kukuaidi mkuu wa mkoa
tutakuwa nanyi bega kwa bega hadi majeruhi hawa wote wapone na warudi hapa nchini”alisema Mmasi
Katika michango hii shule ya
shule binafsi ya Dare salaam Independent School (DIS) ilichanga kiasi
cha shilingi milioni tatu laki moja na nusu huku chama cha wamiliki
wa uzamafuta rejareja wakiwa wamechangia shilingi milioni saba laki
saba huku wote wakiaidi kwenda kukusanya fedha nyingine kwa ajili ya
majeruhi.
Post a Comment