Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye
karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017.Kulia kwake ni Waziri wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye
karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa
Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akikagua matrekta aina ya URSUS yanayounganishwa katika karakana ya
TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017. Wengine pichani kutoka kulia kutoka
kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NDC Mlingi Elisha Mkucha, Waziri wa Viwanda,
Biahara na Uwekezaji, Charles Mwijage, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi
Evaresti, Ndikilo na kulia kwake ni Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry
Koka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wananchi wa Bagamoyo wakati alipotembelea eneo la
uwekezaji la Kamal Industrial Estate lililopo Kerege mkoani Pwani Mei
23, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi
Evarest Ndikilo akizungumza wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
alipotembelea eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate lililopo
Kerege Bagamoyo Mei 23, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka baada ya kutembelea eneo la uwekezaji la
Kamal Industrual Estate lililopo Kerege, Bagamoyo Mei 23, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya viongozi, wabunge na wananchi waliohudhuria
wakati alipotembelea eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate
lililopo Kerenge, Bagamoyo Mei 23, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment