Mheshimiwa Balozi Asha-Rose Migiro (wanne kulia)
akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA, Bwana Charles E.
Kichere (watatu-kushoto). Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake wapo
nchini Uingereza kwa safari ya kikazi, Ijumaa tarehe 5 Mei 2017 walipata
nafasi ya kutembelea Ofisi za Ubalozi na kufanya mazungumzo na Mhemiwa
Balozi. Wengine katika picha ni msaidizi wa Kamishna Bwana Masumbuko
Mwaluko (watatu kulia), Bwana Said Kiondo(wpili kulia) Kaimu Mkuu
kitengo cha Utafiti cha Mamlaka ya mapato, Mkuu wa Utawala Ubalozini,
Bibi Rose Kitandula, Mwambata wa Fedha Ubalozini Bwana Wema Kibona na
Mwambata wa Uhamiaji Bwana Magnus Ulungi
Post a Comment